Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamemuidhinisha : Dkt Mwigulu Lameck Nchemba Madelu kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
MKUTANO wa kwanza kwa Bunge la 13 la Tanzania unaanza leo jijini Dodoma ambao pamoja na masuala mengine, Rais Samia Suluhu ...
BUNGE la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limempitisha kwa asilimia 100 Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo awe ...
Kikao cha Tatu cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 13 kitakachofanyika kesho Alhamis Novemba 13, 2025 kimepangwa kuthibitisha ...
Bunge la Tanzania limempitisha Mwigulu Lameck Nchemba mbunge wa jimbo la Iramba mkoani Singida, kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kulihutubia Bunge la nchi hiyo kama ishara ya kulizindua baada ya kukamilika kwa uteuzi wa Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na naibu wake.
Spika mpya wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu SPIKA mpya wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa ...
Samia mwenye umri wa miaka 65, anatafuta kura, kuweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza, kuchaguliwa katika nafasi hiyo, wakati huu serikali yake inaposhtumiwa kuminya uhuru wa kujieleza na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results