Saa inapofika usiku wa tarehe 31 Desemba kila mwaka, si nchi zote duniani husherehekea mwanzo wa mwaka mpya. Tofauti za kitamaduni zimesababisha kila jamii kutumia tarehe ya mwaka wao mpya, kulingana ...
Mwaka mwingine wa 2025 umemalizika na kuanza mwaka mpya wa 2026....lakini mwaka 2025 umekuwa mwaka mzuri kwa wanasoka wengi wa soka. Ukiacha mchezaji kama Declan Rice ambaye ameanza msimu huu mpya ...