Kampeni inayotumia akili mnemba yaani akili bandia kumuiga Omar al-Bashir, kiongozi wa zamani wa Sudan, imepokea maoni ya mamia kwa maelfu kwenye mtandao wa TikTok, na kuongeza mkanganyiko mtandaoni ...
Kila kukicha vijana wanazidi kuibuka na ubunifu katika sekta tofauti kwa kutumia teknolojia. Sauti Kitabu ni Programu mpya ambayo imeanzishwa, ikiwa ni jukwaa la simulizi za sauti kwa lugha ya ...
Kazi ya sanaa ina nguvu kubwa sana katika jamii ikiwa itatumika vizuri. Hata kwenye maeneo yanayokumbwa na vita, sanaa imekuwa ikileta matumaini. Gloria Shukrani ni msanii aliyekimbia vita vya ...
Utafiti wa NHK kwa vijana umebaini kuwa idadi ya walioshiriki katika mkoa wa Hiroshima ambao wanasema hawataki kuwasikiliza manusura wa bomu la atomiki wakishirikisha simulizi zao ilizidi asilimia 30.