"Vikwazo hivi vimetumika kama chombo dhidi ya utawala wa Assad na kuondolewa kwao kutaruhusu utoaji wa misaada, kuunga mkono juhudi za maendeleo ya ndani na kuchangia katika ujenzi wa haraka wa ...
Ndani ya saa moja hivi, kati ya watu 17 na 22 walikuwa wameuawa, wengi wao wakiwa vijana, kulingana na vyanzo vyetu. Tumekusanya maelezo ya kina kutoka kwa wakazi, ambao hawawezi kutambuliwa ...
Vita hivyo pia vinaweza kuzua mgogoro mwingine katika eneo ambalo kupunguzwa kwa misaada kumeathiri juhudi za kusaidia mamilioni ya watu waliokumbwa na migogoro ya ndani nchini Sudan, Somalia ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imedhibiti ujangili wa wanyamapori hasa tembo, ndani na nje ya Hifadhi ya Ngorongoro na Pori la Akiba la Pololeti. Kamishna wa Uhifadhi NCAA, Dk Elirehema Dorie ...
Watu 135,027 wameomba ajira katika nafasi 1,596 zilizotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Februari 6, mwaka 2025 TRA ilitangaza nafasi za ajira katika idara za mapato ya ndani, forodha na ...
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na Mfumo wa Upumuaji kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dk Elisha Osati, amesema jiji la Dar es Salaam lina msongamano mkubwa wa watu, hivyo hatua za haraka za ...
huku akiwasisitiza kutumia mapato ya ndani kutekeleza miradi ya maendeleo. Majaliwa ameyasema hayo leo Wilayani Nzenga Mkoani Tabora wakati akizindua kituo kipya cha mabasi cha Nzega mjini ambacho ...
Amesema ni vema wabunifu, watafiti na wagunduzi kuchukua hatua ya kuchangamkia ajira kupitia sekta ya teknolojia ili kuuza bidhaa zao katika nchi za ndani na nje na kujikwamua kiuchumi. “Serikali ...
ikiwa ni pamoja na: Kutekeleza maagizo ya Rais Samia kuhusu usimamizi wa kodi nchini. Kuimarisha mifumo ya kodi kwa ndani na forodha, kupitia IDRAS na TANCIS, ili kuongeza ulipaji wa hiari.
Hii leo jaridani tunakuletea Mada kwa kina inayomulika mkutano wa CSW69 ulioanza Jana Jumatatu hapa New York, Marekani, ikiwa ni miaka 30 tangu mkutano wa nne wa kimataifa wa wanawake uliofanyika ...
lakini hesabu zao ziko katika kujiimarisha zaidi ili kukabiliana na ushindani kwa ajili ya mashindano ya ndani na kimataifa. Na wakati ikibaki miezi miwili na wiki mbili kabla ya Ligi Kuu Bara msimu ...