anafuatilia masuala ya Ethiopia na Eritrea haswa. Anasema ugomvi wa ndani wa TPLF hauna dhamira ya kweli zaidi ya kugombea madaraka kati ya viongozi wa kisiasa. "Walikuwa na majadiliano marefu kwa ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea mahojiano na Mtanzania Asha Abdulla Maisara kutoka Zanzibar na ...
Kuma did not like the house as a child; it contrasted greatly with the brand-new concrete towers where many of his friends resided. He envied them, and it took him a while to learn to appreciate ...
Kikundi cha afya kimeonya juu ya kuongezeka kwa mlipuko wa kipindupindu ndani na karibu na Goma, huku wagonjwa 420 na kifo 1 kikiripotiwa kwa wiki mbili mfululizo. Inatokea sasa hivi ...
Wafanyakazi 24 wa Umoja wa Mataifa, pamoja na wafanyakazi kutoka NGOs nyingine za ndani na kimataifa wameshikiliwa na waasi wa Houthi katika miezi michache iliyopita. Wimbi la watu kukamatwa mwezi ...
Ndani ya saa moja hivi, kati ya watu 17 na 22 walikuwa wameuawa, wengi wao wakiwa vijana, kulingana na vyanzo vyetu. Tumekusanya maelezo ya kina kutoka kwa wakazi, ambao hawawezi kutambuliwa ...
Gonorrhea is a sexually transmitted infection (STI) caused by the bacterium Neisseria gonorrhea. It’s usually cured with antibiotics. Gonorrhea can affect people of any age, anatomy, or gender ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
Serikali imezielekeza taasisi zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara kuwasaidia wajasiriamali kukua na kuendelea kuwa shindani ili waweze kuzalisha kwa tija wauze kwenye masoko ya ndani na nje.
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka wananchi kutotunza noti au sarafu ndani badala yake waziingize katika mzunguko au kuweka katika taasisi za fedha ili ziendelee kuwa katika uzalishaji. Hayo ...
26.02.2025 26 Februari 2025 Walanguzi wa madawa ya kulevya hutumia kila aina ya mbinu kufanya biashara hiyo ya ulanguzi. Huko Colombia amekamatwa jamaa mmoja aliyekuwa anajaribu kusafirisha ...