Amesema wakazi wa maeneo hayo wampigie kura nyingi za ushindi, huku akijieleza kwa wananchi yale aliyoyatekeleza ndani ubunge, chini ya Rais Dk. Samia. Katambi, ameanza ziara hiyo jana, kwa kuzungumza ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea mahojiano na Mtanzania Asha Abdulla Maisara kutoka Zanzibar na ...
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imedhibiti ujangili wa wanyamapori hasa tembo, ndani na nje ya Hifadhi ya Ngorongoro na Pori la Akiba la Pololeti. Kamishna wa Uhifadhi NCAA, Dk Elirehema Dorie ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
Katika ulimwengu wa soka kuvunjwa kwa mikataba ya wachezaji ni jambo linalotokea mara kwa mara kutokana na sababu mbalimbali kama vile utovu wa nidhamu, kushuka kwa viwango vya uchezaji, au mabadiliko ...
Ametoa albamu na EP, ameshinda tuzo za ndani na kimataifa, nyimbo zake zinapata namba kubwa mtandaoni huku akianzisha rekodi lebo yake ya Kings Music ambayo imeshafanya kazi na wasanii sita hadi sasa.
Tuzo hii inathibitisha dhamira ya SBL ya kujenga mazingira ya kazi yanayowawezesha wanawake kushiriki kikamilifu katika ngazi mbalimbali ndani na nje ya kampuni. “Kutambuliwa kwa SBL katika tuzo za ...
2025 Kamishina Msaidizi Mwandamizi anayesimamia idara huduma za Utalii na Masoko, Mariam Kobelo amesema ujio wa wanawake hao utaendelea kuhamasisha utalii wa ndani kwenye vivutio vilivyopo ndani ya ...
Kikundi cha afya kimeonya juu ya kuongezeka kwa mlipuko wa kipindupindu ndani na karibu na Goma, huku wagonjwa 420 na kifo 1 kikiripotiwa kwa wiki mbili mfululizo. Soma zaidi mada inayofanana: ...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka wananchi kutotunza noti au sarafu ndani badala yake waziingize katika mzunguko au kuweka katika taasisi za fedha ili ziendelee kuwa katika uzalishaji. Hayo ...
26.02.2025 26 Februari 2025 Walanguzi wa madawa ya kulevya hutumia kila aina ya mbinu kufanya biashara hiyo ya ulanguzi. Huko Colombia amekamatwa jamaa mmoja aliyekuwa anajaribu kusafirisha ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results