Mtandao wa madaktari nchini Sudan umeishtumu kundi la wapiganaji wa RSF, kwa kujaribu kuficha ushahidi wa mauaji ya halaiki katika jimbo la Darfur kwa kuchoma miili au kuzika miili ya watu waliouawa ...
Kony, ambaye alikuwa kiongozi wa waasi wa Lord's Resistance Army, LRM anashtakiwa kwa makosa 39 ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu, ikiwa ni pamoja na mauaji, ubakaji, kutumia askari ...
Sura mpya katika sakata la muda mrefu la Zuma nchini Afrika Kusini inatarajiwa kuanza na binti wa rais huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 43 anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa mashtaka ...
Wazazi, mara nyingi hukumbana na hali zinazoweza kuwaletea wasi wasi au aibu, kama kuchelewa kwa mtoto kuongea au kutumia lugha ipasavyo. Wakati watoto wenzao wanavyoonekana kukua kawaida, unagundua ...
MKE wa mwigizaji na mtayarishaji mkongwe wa filamu za Bollywood, Sanjay Khan, Zarine Khan, aliyefariki dunia Novemba 7, 2025 kutokana na shambulio la moyo (cardiac arrest) akiwa na umri wa miaka 81, ...
Utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (EACOP), unaojumuisha ujenzi wa bomba la urefu wa kilomita 1,443 kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani, Tanga – Tanzania, umefikia ...
RAPA kutoka kundi la Weusi, G Nako ameendelea kuwa mfano wa msanii anayekua na kubadilika kulingana na mabadiliko ya soko la muziki, kitu kinachofanya jina lake kuzidi kuwepo katika tasnia miaka nenda ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga leo Machi 12, 2025 amezindua namba mpya ya huduma kwa wateja (mchongo 180) itakayotumiwa na wateja bure bila malipo ili ...