Mtandao wa madaktari nchini Sudan umeishtumu kundi la wapiganaji wa RSF, kwa kujaribu kuficha ushahidi wa mauaji ya halaiki katika jimbo la Darfur kwa kuchoma miili au kuzika miili ya watu waliouawa ...
Kony, ambaye alikuwa kiongozi wa waasi wa Lord's Resistance Army, LRM anashtakiwa kwa makosa 39 ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu, ikiwa ni pamoja na mauaji, ubakaji, kutumia askari ...
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameanzisha hatua ya mwisho kuelekea kufikia makubaliano ya lengo la miaka kumi la kupunguza utoaji wa gesi chafu ya kaboni kuelekea mkutano mkuu wa mazingira wa Umoja wa ...
Sura mpya katika sakata la muda mrefu la Zuma nchini Afrika Kusini inatarajiwa kuanza na binti wa rais huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 43 anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa mashtaka ...
Wazazi, mara nyingi hukumbana na hali zinazoweza kuwaletea wasi wasi au aibu, kama kuchelewa kwa mtoto kuongea au kutumia lugha ipasavyo. Wakati watoto wenzao wanavyoonekana kukua kawaida, unagundua ...
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wakutana mjini Brussels kwa mazungumzo muhimu ya kuweka lengo jipya la kupunguza utoaji wa gesi chafu kwa asilimia 90 ifikapo mwaka 2040. Mkutano huu unajiri kabla ya ...
NBA Shocker: Lebron Linked To Betting Mafia, Jones Traded Inside Info The FBI has launched one of the biggest investigations in NBA history, targeting illegal betting networks, and LeBron James’ name ...
Fury Erupts After ‘No-Kings’ Protester Mocks Charlie Kirk; Teacher’s Reaction Branded ‘Disgusting’ A shocking video from Chicago has gone viral, showing a local school teacher mocking the death of ...
SERIKALI kupitia TANESCO imejizatiti kuwekeza katika vyanzo mseto vya nishati ya umeme ikiwemo mashamba ya umeme wa jua ili kuongeza uhakika wa nishati. Mradi wa mashamba haya umeanza kutekelezwa kwa ...
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imezindua Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi yenye wataalamu 67 kutoka nchi zote wanachama, kwa ajili ya kufuatilia na kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa ...
MKE wa mwigizaji na mtayarishaji mkongwe wa filamu za Bollywood, Sanjay Khan, Zarine Khan, aliyefariki dunia Novemba 7, 2025 kutokana na shambulio la moyo (cardiac arrest) akiwa na umri wa miaka 81, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results