Serikali imeanzisha kampeni maalumu kwa ajili ya kudhibiti vitendo vya utapeli na ulaghai mitandaoni ambavyo husabanisha hasara kwa watu binafsi na Taifa kwa ujumla na kurudisha nyuma ...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni (DC) mkoani Tanga, Albert Msando ameliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na watendaji wa kata kuwatafuta wanafunzi 356 wa kidato cha kwanza wa shule za ...
Wenyeviti 142 wa Serikali ya mitaa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam wameingia makubaliano na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Dawasa) ikiwamo sharti uhakika wa maji kwa saa 24 ...
Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS), imeanzisha Mfumo Jumuishi wa Kielektroniki (ISQMT) utakaondoa urasimu katika huduma hizo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro (RC), Adam Malima amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kwenye maeneo yanayopakana na vivutio vya ...
Uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) uliotoa agizo kwa Tanzania kufuta adhabu ya kifo ...
Serikali imesema ipo tayari kurudi kwenye meza ya mazungumzo na wadau wa sekta ya mawasiliano kutathmini utekelezaji wa ...
Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, kueleza kuhusu mbinu mpya za rushwa ...
Utafiti mpya uliofanywa na Taasisi ya Economic and Social Research Foundation (ESRF) umebaini wagonjwa wa saratani hufika ...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) Bara, Innocent Siriwa ametangaza ni ya kuwania urais ...
Washtakiwa tisa wanaokabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 332 za heroine na methamphetamine, wamehoji upande wa mashtaka ...
Hatimaye Al Hilal ya Sudan wamepangwa na kingingi Al Ahly kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...