Kuendelea kwa utawala mbovu wa sasa kunaweza tu kusababisha mawimbi mapya ya machafuko ya kisiasa, ukosefu wa usalama, ukosefu wa utulivu wa kitaasisi, migogoro ya silaha na hata vita vya wenyewe ...
Maafisa wa chama cha PPRD, chama cha rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila Kabange, wameitishwa mbele ya mahakama za kijeshi. Naibu kiongozi wa chama hicho Aubin Minaku, katibu mkuu Ramazani Shadary ...
HARUNA Mhando Swanga, mkali wa masumbwi kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanazania (JWTZ) akiwa na cheo sajini taji (staff seargent) huku akiwa ndiye nahodha wa gym ya Ngome inayopatikana kwenye ...
Akijibu malalamiko yao, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Protus Ruwanda, amesema kupanda kwa nauli kumetokana na hali mbovu ya miundombinu, hususan barabara, hali inayoongeza gharama za uendeshaji kwa watoa ...
MANCHESTER, ENGLAND: KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesisitiza yeye bado ni mtu sahihi kuiongoza timu hiyo kwa muda mrefu licha ya kukumbana na rekodi zote mbovu za matokeo katika historia ...
Tuliona namna usimamizi mbovu wa maeneo haya muhimu unavyosababisha upungufu katika bajeti, matumizi mabaya ya fedha na hata kupoteza imani kwa umma. Ukweli unaouma ni kwamba, usimamizi mbovu wa fedha ...
“Nilipewa zawadi ya pikipiki lakini ilikuwa siyo haki kwa sababu waliweka pikipiki ambayo ilikuwa mbovu ambayo ishatumika mwaka mmoja na miezi sita, yaani kama walinidhulumu kiasi fulani. “Kiukweli ...
Unapoiangalia Yanga pale kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 58, basi tambua kuna mchango wa mshambuliaji wao, Prince Dube ambaye amehusika kwenye mabao 17 kati ya 58 yaliyofungwa na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results