CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
Kikundi cha afya kimeonya juu ya kuongezeka kwa mlipuko wa kipindupindu ndani na karibu na Goma, huku wagonjwa 420 na kifo 1 kikiripotiwa kwa wiki mbili mfululizo. Inatokea sasa hivi ...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka wananchi kutotunza noti au sarafu ndani badala yake waziingize katika mzunguko au kuweka katika taasisi za fedha ili ziendelee kuwa katika uzalishaji. Hayo ...
26.02.2025 26 Februari 2025 Walanguzi wa madawa ya kulevya hutumia kila aina ya mbinu kufanya biashara hiyo ya ulanguzi. Huko Colombia amekamatwa jamaa mmoja aliyekuwa anajaribu kusafirisha ...
Hivi sasa tunashughulikia sio tu madhara ya ukame bali pia hatari zake ikiwemo mizozo na kudorora kwa usaidizi wa kibinadamu. Kaya zilizoathiriwa zaidi ni zile zenye kiwango kidogo cha mavuno, ...
Makadirio hayo yanatokana na mageuzi ya sera mikakati ya upatikanaji wa mapato ambayo Serikali imepanga kutekeleza kwa mwaka wa fedha 2025/26. Dk Mkuya amesema makadirio ya mapato yamezingatia uwezo ...
Ni vile tu ubora ambao Shomari alikuwa ameuweka baina yake na walinzi wengine wa pembeni ndani na nje ya timu yake ulikuwa mkubwa kiasi kwamba ilikuwa ngumu kuipora namba yake hata wakati kiwango ...
Aliwataka waandaaji hao kutumia Kiswahili sanifu na fasaha na kuwa mabalozi wa lugha hiyo ndani na nje ya nchi. Aliwaasa washiriki wa mkutano huo kujiepusha na uandishi wa habari unaoibua taharuki na ...
Arusha. Serikali imesema ipo tayari kushirikiana na wawekezaji wa ndani kuangalia namna ya kuwawekea mazingira wezeshi ili vifaa vya kielektroniki vinavyozalishwa nchini viwe na ushindani katika soko.
Kuma did not like the house as a child; it contrasted greatly with the brand-new concrete towers where many of his friends resided. He envied them, and it took him a while to learn to appreciate ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results