Jenerali Abdelfattah El Burhan ameondoa uwezekano wa kufanya mazungumzo na RSF au makundi yenye kuwaunga mkono akidai kuwa ndilo kundi lenye kusababisha mauaji kwa raia wasio na hatia nchini Sudan.