Mkazi wa Kata ya Kwenjugo, Mwajabu Kilo wakati akitoa malalamiko yake kwa Waziri Ndejembi amesema ameshindwa hadi kumsomesha mtoto wake kutokana na kufuatilia haki zake kwenye viwanja ...