Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Husna Mohamed Abdallah, ameahidi kupigania ushiriki wa wanawake wa chama hicho ...
Ahmed Ally atashiriki droo ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na droo ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ...
Ninapotafakari kwa kina mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ninakumbuka falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kama ingetekelezwa ipasavyo, inaonekana ...
Dar es Salaam. Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) umepokea tuzo ya kimataifa kutokana na mchango wake wa kuboresha ...
Kutokana na faida zake lukuki katika dunia ya sasa, matumizi ya vifaa hivyo kwa sasa yamevunja mnyororo wa rika, kwani watoto ...
Dar es Salaam. Hayo yameelezwa leo wakati shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) lilipokutana na wadau mbalimbali kujadili ...
Hatua hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu Mwananchi itoe habari ikieleza namna wafanyabiashara, bodaboda walivyojipanga na maboresho hayo ya ufanyaji biashara.
Wakati kero ya migogoro ya ardhi ikiendelea kusumbua maeneo mbalimbali nchini, Mkoa wa Lindi umeeleza namna unavyopambana ...
Kwa muda mrefu Kisiwa cha Pemba kimekuwa ngome ya upinzani, tangu uchaguzi wa kwanza baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa mwaka 1995, kisiwa hicho kilikuwa ngome ya Chama cha Wananchi (CUF).
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko amewataka wanawake na wananchi wengine kujitokeza kwa wingi kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la mpigakura, kabla ya zoezi ...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) ...
Babati. Mahakama Kuu masjala ndogo ya Babati, mkoani Manyara imemhukumu adhabu ya kifo, Paskal Saqware, baada ya kupatikana ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results